Jumapili, 10 Machi 2013

Hii ni blogu ya jamii inahusika na mambo ya ubunifu wa mitindo mbalimbali ya vitenge, batiki na vitambaa na pia tunauza nguo za mitumba, mabegi ya mitumba pamoja na mashuka ya mitumba

Huu ni mmoja wapo wa mtindo tuliobuni

 




Hii nguo imetengenezwa na dada zuwena ambaye ni mmiliki mmoja wapo wa blogu hii

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni